15-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: Haki Zinazompasa Mke Kumtendea Mumewe 14-Aamiliane Vyema Na Wazazi Wake Na Jamaa Zake

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الزَّوَاجِ

 

Kitabu Cha Ndoa

 

الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ

 

Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume

 

Alhidaaya.com

 

 

 

14:  Haki Zinazompasa Mke Kumtendea Mumewe: 14-Aamiliane Vyema Na Wazazi Wake Na Jamaa Zake:

 

 

Hili bila shaka litazidisha heshima na penzi toka kwa mumewe na kutoka kwa wazazi wake na jamaa zake kiujumla.  Na hii pia ni dalili ya kuwa huyo ni mke mwema aliyeleleka juu ya maadili mema ya kidini.

 

 

Share