Skip to main content

Fataawaa: Za Zakaatul-Fitwr15-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Kwa Ajili Ya Mtoto Aliye Tumboni

Zakaatul-Fitwr Kwa Ajili Ya Mtoto Aliye Tumboni

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

SWALI:

Zakaatul-Fitwr ilipwe kwa ajili ya mtoto aliye bado tumboni mwa mama?

JIBU:

Inapendekezeka kulipa kwa sababu 'Uthmaan (Radhiya Allaahu 'anhu) alifanya. Lakini sio fardhi bali ni jambo linalopendezeka tu.

Wa biLLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyina Muhammad wa aalihi wa Swahbihi wa sallam.

[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah]