Kusafisha Meno Kwa Dawa Kunabatilisha Swawm?

 

SWALI:

 

mimi naomba kuliza kwamba hivi inafaa mtu kusugua meno kwa kutumia daya ya meno wakat umefunga? ahsante

 


 

JIBU:

 

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

 

Inafaa kusugua meno kwa kutumia dawa kwani sio katika mambo yanayobatilisha Swawm.

 

Ingia katika kiungo kifuatacho upate maelezo kuhusu yanayoruhusiwa na yanayobatilisha Swawm.

 

Mambo Muhimu Kuhusu Swawm

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

 

Share