Saladi Ya Viazi Na Mchanganyiko Wa Mboga Kwa Mayonnaise

Saladi Ya Viazi Na Mchanganyiko Wa Mboga Kwa Mayonnaise

Vipimo

Viazi (mbatata) - 5 vitano

Ngegere, karoti - ½ kijiko cha kikombe

Maharage mabichi na mahindi mabichi - ½ kijiko cha kikombe

Mayonnaise - 5 Vijiko vya supu

Pilipili manga - ½ kijiko cha chai

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Menya viazi katakata vipande  kisha changanya na vitu vyote vichemshe na chumvi kiasi
  2. Viache vipowe kisha mimina ndani ya bakuli kubwa.
  3. Changanya mayonnaise na pilipili manga tayari kuliwa na mkate au nyama ya kuchoma.
  4. Unaweza kuhifadhi kwenye friji kwa matumizi ya siku ya pili.

 

Share