Wenye Kuabudu Mashetani: Free Masons Na Devil Worshippers

 

  Wenye Kuabudu Mashetani: Free Masons Na Devil Worshippers

 

Alhidaaya.com

 

 

SWALI

 

Assalam aleikum. Ama baada ya mamkizi mema namshukuru muumba kwa kila neema aliotupa. Suala langu ilikuwa ni kuhusu DEVIL WORSHIP na FREE MASON, watu hawa wako na alama zao wanazozitumia je ni zipi?

 

Na pia nimesikia kuwa kuna watu mashuhuri wanahusika na makundi haya wakiwemo viongozi hata hawa wa bara Arabu je ni sahihi? Shukran kwa msaada wenu na Allaah atawabariki.

 

JIBU:

 

 

AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

 

Kwanza pata hapa chini alama zao ambazo wanazitumia katika mambo yao na pia kujuana.