Mashairi: Gaza - Allaah Awanusuru

 

              Abdallah Bin Eifan

          (Jeddah, Saudi Arabia)

 

 

Salaamu nazisambaza, ziende kila makani,

Ndugu zetu huko Gaza, nawapa pole poleni,

Kwa nguvu Zake Muweza, mtamshinda shetani,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Mayahudi Angamiza, Tunakuomba Manani,

Wanazidi kumaliza, ndugu zetu waumini,

Watoto wanaumiza, kama vile hayawani,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Mchana na kwenye kiza, watu wamo machinjoni,

Adui hakunyamaza, ndege za vita angani,

Na pia ameongeza, meli zake baharini,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Kila pembe kapenyeza, ona vifaru njiani,

Hakuna alobakiza, anapiga majumbani,

Wengine wamenyamaza, Ulaya na Marekani,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Hataki kusikiliza, adui ni maluuni,

Popote ukiuliza, ni njama za Wazeyuni,

Wanataka kueneza, hukumu yao nchini,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Toka walipofukuza, wananchi Palestini,

Ona wameshatimiza, sasa miaka sitini,

Alikuwa Mwingereza, akitawala zamani,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Watu waliwafukuza, wanaishi mahemani,

Wananyimwa kujifunza, na hawaendi shuleni,

Hata dawa kupunguza, wanakufa utotoni,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Wenye mimba wanaliza, wanazaa mitaani,

Wale wasiojiweza, hufa na mwana tumboni,

Sana tukipeleleza, huu ndio mtihani,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Tunaona majeneza, asubuhi na jioni,

Watu wanaomboleza, ndugu zao na jirani,

Hakuna wakuwapoza, pekee yao masikini,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Twazidi kusisitiza, madhambi yapunguzeni,

Mengi Yanamchukiza, Mola wetu Rahmani,

Apate Kutuongoza, tuizingatie dini,

Tunakuomba Manani, Angamiza Mayahudi.

 

Tunazidi kutangaza, kamba ya Mungu shikeni,

Na dua kufululiza, kila mara tuombeni,

Nashindwa mate kumeza, na dukuduku moyoni,

Tunakuomba Manani, GAZA Uwanusuru.

 

 

 

Share