Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mkataa Haki Aamiliwe Kwa Yanayomstahiki
Mkataa Haki Aamiliwe Kwa Yanayomstahiki
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
"Mwenye kufanya ubishi na akawa na kibr baada ya kumdhihirikia Haki, hapana shaka anapaswa aamiliwe kwa yanayomstahiki baada ya ubishi na kwenda kinyume."
[Kitaab Al-'Ilm, uk. 26]
![Share](/sw/sites/all/themes/corporateclean/images/shareiconsmall.png)