Miongoni Mwa Misemo Ya Makosa "Hakuna Shukurani Kwa Waajib" Alhidaaya.com Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema: Msemo: "Hakuna shukurani kwa (kutenda) waajib" Msemo huu ni kosa. Kwa sababu waajib hushukuriwa. [Fat-hu Al-Majiyd 3/299]