Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ghadhabu Yenye Kuhimidiwa (Kushukuriwa)

 

Ghadhabu Yenye Kuhimidiwa (Kushukuriwa)

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Ghadhabu kwa ajili ya Allaah na kwa ajili ya shariy'ah za Allaah, ni yenye kuhimidiwa (kushukuriwa).

Nayo ni katika mwenendo wa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam).

Nayo ni alama ya kuonesha ghera ya mtu na (ni alama) ya mapenzi yake katika kusimamisha shariy'ah ya Allaah."

 

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn, mj. 3, uk. 622]

 

 

 

 

Share