Imaam Ibn Taymiyyah: Mwenye Kuacha Dalili Kapotea Njia

 

Mwenye Kuacha Dalili Kapotea Njia

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

 

 

Alhidaaya.com

 

 

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alikuwa akisema:

 

“Atakayeacha dalili amepotea njia, na hakuna dalili isipokuwa aliyoileta Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)."

 

 

[Miftaah Daar As-Sa’aadah (229/1)]

 

Share