Shaykh Fawzaan: Maulidi: Kuhusisha Siku Ya Maulidi Kwa Kuielezea Siyrah Ya Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuhusisha Siku Ya Maulidi Kwa Kuielezea

Siyrah Ya Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

SWALI:

 

Mimi ni Imaam wa Masjid, nimeombwa na wanaoswali niwasomee Siyrah ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) siku ya Jumatatu ijayo tarehe 12 Rabiy’ul Awwal.

 

 

JIBU:

 

Hapana! Usiwasomee! Usiwasomee siku ya Jumatatu kamwe kwa sababu hiyo ni kwa ajili ya Jumatatu ambayo ni sawa na tarehe 12 Rabiy’ul Awwal, jambo ambalo ni bid’ah. Hivyo  usiwasomee wala usiwaitike.

 

[Mawqi' Ar-Rasmiy li-Ma'aaliy Shaykh Swaalih bin Fawzaan] 

 

 

 

Share