Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Ramadhwaan Ni Katika Neema Za Allaah Kwa Waja Wake

 

Ramadhwaan Ni Katika Neema Za Allaah Kwa Waja Wake

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn 'Uthaymin (Rahimahu Allaah):

 

"Hakuna shaka kwamba katika neema za Allaah kwa waja Wake ni kuwafanyia ihsaan kwa kuwajaalia mwezi huu mtukufu ambao Amejaalia kuwa ni msimu wa khayraat, na wenye chumo kutokana na ‘amal njema, na Amewaneemesha humo kwa neema za wa waliotangulia, na neemah za kuendelea daima. Basi katika mwezi huu Allaah Ameteremsha Qur-aan ambayo ni Mwongozo kwa Watu na hoja za uongofu na pambanuo."

 

 

[Kalimaat Min Dhahab lish-Shaykh Ibn ‘Uthaymiyn Rahimahu-Allaah bimunaasabah Istiqbaal Shahr Ramadhwaan]

 

 

Share