Imaam Ibn ‘Uthaymin: Rudini Kutubia Mwisho Wa Ramadhwaan Enyi Waja Wa Allaah!

Rudini Kutubia Mwisho Wa Ramadhwaan Enyi Waja Wa Allaah!

 

 Imaam Ibn ‘Uthaymin (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Enyi ndugu zangu! Malizeni Ramadhwaan kwa kuelekea kwa Allaah (Ta’aalaa) kutubia kutokana na madhambi mliyomtendea. Elekeeni Kwake kwa kutubia na kufanya yanayomridhisha kwani hakuna mtu aliyekingwa na madhambi au makosa; wana Aadam wote ni wakosaji lakini mbora kati yao ni mwenye kurudia kutubia. Na Allaah (Ta’aalaa) Alimtaka Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aombe maghfirah na arudie Kwake kutubia Aliposema:

وَتُوبُوا إِلَى اللَّـهِ جَمِيعًا أَيُّهَ الْمُؤْمِنُونَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٣١﴾

Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr:  31]

 

 

[Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 229]

 

 

Share