Skip to main content

Imaam Ibn Baaz: Hajj: Vipi Kuigawa Nyama Ya Udhwhiyah

Vipi  Kuigawa Nyama Ya Udhw-hiyah

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

SWALI:

Vipi mchinjaji Udhw-hiyah aigawe nyama?

JIBU:

Sunnah kwa mchinjaji ni aile baadhi yake, na aigawe baadhi yake kama zawadi kwa jamaa wa karibu na majirani, na aitolee swadaqah baadhi yake.

[Majmuw’ Fataawa (18/38)