Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zifungwe Mfululizo Au Bila Kufufuliza?
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) Na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
www.alhidaaya.com
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
"Inajuzu kuzifunga (Swiyaam za Sitta Shawwaal) mfululizo au kutokufululiza."
[Al-Fataawaa 15/391)]