Imaam Ibn Baaz: Kumsomea Maiti Qu-raan Nyumbani Kaburini Baada Siku Arubaini Haijuzu

Kumsomea Maiti Qu-raan Nyumbani Kaburini Baada Siku Arubaini Haijuzu

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaayah.com

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Haipo ki-Shariy’ah suala la kusoma Qur-aan kwa ajili ya mtu aliekufa, si nyumbani kwake na wala si makaburini, si siku ya arubaini na wala si siku nyingine yeyote ile kwa makusudio haya, bali hii ni katika Bid’ah (uzushi) ambayo watu waliizusha.

 

 

[Fataawaa Imaam Ibn Baaz]

 

Share