Skip to main content

Imaam Hasan Al-Baswriy: Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa

Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa

Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:

Dunia yote ni kiza isipokuwa Majaalis Al-‘Ulamaa (vikao vya Wanachuoni)

[Jaami’ Bayaan Al-‘Ilm wa Fadhwalih 264]