Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kusikiliza Nyimbo Baada Ya Swalaah; Je, Swalaah Itakubaliwa?

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kusikiliza Nyimbo Baada Ya Swalaah; Je, Swalaah Itakubaliwa?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Baadhi ya nyakati huwa nasikiliza nyimbo baada ya Swalaah. Mfano huenda kuswali kisha nnapoingia garini husikiliza nyimbo. Je Swalaah yangu itakubaliwa?

 

 

JIBU:

 

Ama kuhusu Swalaah yako ni sahihi. Lakini kusikiliza nyimbo ni haramu. Kwa hiyo inakuwajibika kuacha ee ndugu!  Bali ni bora kwako usikilize Qur-aan au khabari (redioni) ili uokoke na madhambi haya.

 

[Fataawa Kuhusu Swalaah]

 

 

Share