Imaam Qataadah: Suhubianeni Na Swaalihina (Waja Wema) Ili Muwe Nao Au Muwe Kama Wao

Suhubianeni Na Swaalihina (Waja Wema) Ili Muwe Nao Au Muwe Kama Wao 

 

Imaam Qataadah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 Imaam Qataadah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Hakika sisi, Wa-Allaahi, hatukupata kuona mtu anayesuhubiana na watu isipokuwa huwa mfano wake na shakili yake. Basi suhubianeni na Swaalihina enyi waja wa Allaah, ili muwe pamoja nao na huenda mkawa mfano wao.”

 

 

[Al-Ibaanah (2/477)]

 

Share