Al-Lajnah Ad-Daaimah: Hukmu Ya Kusherehekea Pasaka (Easter)

Hukmu Ya Kusherehekea Pasaka

 

Al-Lajnatu Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Al-Lajnatu Ad-Daimah waliulizwa kuhusu kusherekea sikukuu ya kimataifa ya  Argentina na kusherekea huko hufanyika ndani ya makanisa yao, (sherehe hizo ni za siku) kama siku ya Uhuru, na kusherekea sherehe za Waarabu Wakristo kama Pasaka.

 

 

JIBU:

 

Hairuhusiwi kwa Muislamu kuwa na sherehe kama hizo au kuhudhuria au kushirikiana na makafiri, kwa sababu kufanya hivyo ni kusaidiana kwenye madhambi na uadui, na Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Amekataza hilo.

 

Na Tawfiyq ni kutoka kwa Allaah.

 

 

[Fataawa Al-Lajnati Ad-Daaimah,  mj. 2, uk.76.]

 

 

Share