Al-Lajnah Ad-Daaimah: Maulidi: Hairuhusiwi Kupongezana Mwaka Mpya Wa Kiislaam Au Maulidi

 

Hairuhusiwi Kupongezana Kwa Mnasaba Wa Mwaka Mpya Wa Hijri (Kiislamu)

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Je, inaruhusiwa kuwapongeza wasio Waislamu kwa mwaka mpya wa kwao wa Gregori.

Na je, kupongezana kwa mwaka wa Kiislamu wa Hijri, na je, kupongezana kwa (sherehe ya) Mawlid?

 

 

JIBU:

 

Hairuhusiwi kupongezana kwa minasaba hiyo yote, kwa sababu haijawekewa shariy'ah kusherehekea (masiku hayo).

 

Tunamuomba Allaah At-Tawfiyq, na Swalaah na Salaam zimwendee Rasuli wetu Muhammad, familia yake na Maswahaba zake.

 

 

[Al-Lajnat Ad-Daaimah Lil-Buhuwth Wal-Ifta, Fatwa namba 20795]

 

Alhidaaya.com

 

 

Share