Al-Lajnah Ad-Daaimah: Tahadharisho La Kitabu Cha Du’aa Al-Mustajaab Kimejaa Hadiyth Dhaifu Na Za Kutungwa

 

Tahadharisho La Kitabu Cha Du’aa Al-Mustajaab Kimejaa Hadiyth Dhaifu Na Za Kutungwa

 

Al-Lajnah Ad-Daaimah

 

www.alhidaaya.com

 

 

Baada ya swali kuhusu kitabu cha Du’aa Al-Mustajaab, Al-Lajnah Ad-Daaimah Lil-Buhuwth Al-'Ilmiyyah Wal-Iftaa (Kamati ya Kudumu ya Utoaji Fatwa na Tafiti za Kielimu) wamejibu:

 

"Kitabu cha Ad-Du'aa Al-Mustajaab si cha kutegemewa kwa sababu kimekusanya idadi kubwa ya Ahaadiyth dhaifu na za kutungwa. Kwa hiyo Ahul-‘Ilm wamekitahadharisha.”

 

[Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah, (2/449)]

 

 

Share