Skip to main content

Imaam Ibn Baaz: Ulimwengu Upo Katika Ugeni Kutokana Na Uchache Wa Elimu Na Ahlul-'Ilm

Ulimwengu Upo Katika Ugeni Kutokana Na Uchache Wa Elimu Na Ahlul-'Ilm

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

“Aghlabu ya miji leo hii, na aghlabu ya dunia leo hii, umo katika ugeni mkali kutokana na uchache wa elimu na Ahlul-‘Ilm (wenye elimu).

[Sharh Riyaadhw Asw-Swaalihiyn (38)]