Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hajj: Udhwhiyah (Kuchinja) Ni Sunnah Iliyosisitizwa Kwa Mwenye Uwezo

Udhwhiyah (Kuchinja) Ni Sunnah Iliyosisitizwa Kwa Mwenye Uwezo

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymin (Rahimahu Allaah): 

 

“Udhwhiyah ni Sunnah Muakkadah (Iliyosisitizwa) kwa mwenye uwezo. Achinje mtu kwa ajili ya nafsi yake na watu wa nyumbani mwake.”

 

 

[Majmuw’ Al-Fataawaa (10/25)]

 

 

Share