Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wakati Wa Swalaah Ya Adhw-Dhwuhaa (Dhuhaa)

 

Wakati Wa Swalaah Ya Adhw-Dhwuhaa (Dhuhaa)

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaahu) amesema:

 

“Wakati wa Swalaah ya Adhw-Dhwuhaa ni kuanzia baada ya kuchomoza jua kwa (kiasi cha) robo saa, na humalizika kabla kidogo ya kuingia kwa Swalaah ya Adh-Dhuhr kwa (kiasi cha) dakika kumi.

 

 

[Sharh Al-Mumti’, mj. 4, uk. 122]

 

 

Share