Shaykh Fawzaan: Ameacha Kuswali Baada Ya Kudhani Ni Hedhi Je Alipe Swalaah?

 

Ameacha Kuswali Baada Ya Kudhani Ni Hedhi Je Alipe Swalaah?

 

Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

 

SWALI:

 

Je, mwanamke akiona damu kidogo akaacha kuswali, kisha damu ikasita siku hiyo (au ya pili yake), Je anatakiwa alipe Swalaah?

 

JIBU:

 

Ikiwa imemdhihirikia kwamba hiyo si damu ya hedhi  basi ni wajibu kwake kulipa Swalaah hizo alizozikosa.

 

[Sharh ‘Umdatil-Fiqh Kanda Namba 7 Swali Namba 44]

 

 

 

 

 

 

Share