Imaam Ibn Taymiyyah: Kufanya Misimu Ya ‘Ibaadah Bila Ya Kuweko Dalili Ni Bid’ah

 

Kufanya Misimu Ya ‘Ibaadah Bila Ya Kuweko Dalili Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Ama kuifanya misimu ambayo haiko katika Shariy’ah kama vile masiku ya mwezi wa Rabiy’ul Awwal ambao inadaiwa humo kuwa  kuna siku ya Mawlid au baadhi ya siku za Rajab au tarehe 8 Dhul-Hijjah au Ijumaa ya kwanza katika mwezi wa Rajab au tarehe 8 Shawwaal ambayo iliitwa na wajinga ‘Iydul-Abraar, basi hayo yote ni bid’ah ambazo Salaf hawakupendelea wala hawakutenda na Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Mjuzi zaidi.”  [Majmuw’ Al-Fataawaa (25/298)]

 

 

 

 

Share