Tafuta

Search results

  1. Mume Ametaka Ndoa Iwe Ya Siri Lakini Hanipi Chochote Na Haji Kwangu Ila Kwa Mahitaji Ya Kimwili Tu

    ... kama ndoa yangu inakubalika? Kwani nimeolewa na mume wa mtu na huyu bwana hataki mtu ajue katika upande wake wote, ila kwangu ndo wanamjua na aliniambia kuwa hataki mkewe ajue na sasa ...

    Alhidaaya - Jan 24 2021 - 11:30am

  2. 05-Kwa Ajili Ya Allaah Kisha Historia: Khumus

    ... Ingawa maelezo ya kisheria yanaonyesha kwa mashia wa kawaida hawalazimishwi khumusu. Bali ni nkhiari yao kufanya hivyo , ispokuwa ... siku hadi siku, isipokua baba yangu amejaalia shia wake kuwahalalishia ili  wajitakase}(Al Kaafi 2/499) ...

    webmaster - Jul 27 2018 - 5:28pm

  3. Kufuturu Kabla Ya Kuswali Magharibi Inafaa?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... ya Swalah ndio vizuri kula chakula cha kushiba kwa wasaa wake mtu bila kuwa na wasiwasi wa Swalah au kuharakisha mlo wake na kumfanya ...

    Alhidaaya - Jan 25 2021 - 12:56pm

  4. Mashia Na Njama Za Kupenyeza Itikadi Zao Za Kikafiri Kwenye Sinema Za ‘Dini’

    ... na hata kuungamiza. Mbinu na hila hizo zinafanywa na maadui wa nje na maadui wa ndani wa dini hii.     Maadui wa nje ... Mashia na Ushia. Iran ndiyo nchi ya kwanza katika mji mkuu wake, Tehran isiyokuwa na msitiki wa Kisunni ilihali wamajusi (Wanaoabudu ...

    Alhidaaya - Jan 19 2021 - 10:08pm

  5. Wazazi Wanamkataa Aliyekuja Kumposa Kwa Sababu Ya Umasikini, Je, Nini Hukmu Yake

    ... wazazi, nimepata mtu ninae taka kufunga ndoa nae kwa uwezo wa allah lakini mtu huyu anaishi africa na hana uwezo wa kuja hapa ninapoishi, ... na mtu aliye kua maskini, mwenzangu ashawajuulisha wazazi wake sasa wanataka waje kwa wazazi wangu lakini mimi nasema bado kwa sababu ...

    senior.editor.tamimi - Oct 15 2009 - 11:58pm

  6. Mume Na Mke Kuishi Mbali Kwa Muda Mrefu

    ...   Nini inakuwa juu ya mtu na mume wake kuishi sehemu tofauti ingawa ni  kwa maridhiano kwa mda mrefu, na hasa inapokuwa hakuna uwezekano wa mmoja kumfuata mwenzake mfano anapokuwa kifungoni ama machimboni ama popote ...

    Alhidaaya - Jan 24 2021 - 5:53pm

  7. Amemuota Aliyefariki Anayemdai Kuwa Anawambia Atoe Sadaka Pesa Zake

    ... sijui nilipeke kwao au vipi. Kwa ule wasi wasi nilonao wa deni la watu nilimuota aliyefariki akiniambia kuwa pesa zake nimtolee ... umtolee sadaka kabla ya kuaga dunia au atie katika wasiya wake kabla ya kuaga dunia kwake. Pindi anapokufa huwa mali si yake tena bali ya ...

    senior.editor.tamimi - Oct 3 2016 - 7:19am

  8. Kiasi Cha Maji Kuondosha Najsi

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola  wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... Ikiwa najisi ni ya mkojo, mavi, damu na mfano wake, unaiosha kwa maji mpaka sura yake, rangi, ladha na harufu yake iondoke. ...

    Alhidaaya - Aug 24 2018 - 9:15am

  9. Mama Ameacha Watoto Watano Mmoja Wa Kike Wanne Wanaume

    ... waliotangulia wote....aliwacha pesa au nyumba kwa nduguye wa kike ambaye atakuwa Khaalat wetu...amabye anasema kuwa ana pesa tu na pesa ... Na sisi ndugu tuko watano. Mmoja tu ni wa kike na umri wake ni 27 na wengine sote ni 41,34,33 na 26. Sote waume tuko na wake zetu na ...

    senior.editor.tamimi - Jan 5 2021 - 7:51pm

  10. 07-Abu Bakr Asw-Swiddiyq (Radhwiya Allaahu 'anhu): Nasaba Yake

    ... Murrah bin Ka'ab bi Luay Al-Qurashiy Al-Taymiy, na uhusiano wake na Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) unakutana kwa Murrah bin Ka'ab, kwani jina la Mtume ...

    Alhidaaya - Aug 6 2018 - 2:53am

Pages