Tafuta

Search results

  1. Mkiristo Anataka Kujua Kama Nabii Muhammad (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّم) Ana Miujiza Kama Ya Nabii ‘Iysa

    ... AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na Salaam zimshukie Nabiy Muhammad ... Rasuli ameamini yaliyoteremshwa kwake kutoka kwa Rabb wake na Waumini (pia). Wote wamemwamini Allaah, na Malaika Wake, na Vitabu ...

    Alhidaaya - Oct 17 2021 - 2:24pm

  2. Al-Mas-hu ‘Alal Khuffayn (Kupangusa Juu Ya Khufu Mbili) Kwa Ajili Ya Wudhuu

    ... LA KWANZA:   Tunawaombea Alhidaaya uwezo wa kujibu maswali yetu kwani tunafaidika na mengi tusiyoyajua.   ... kuhusu ikiwa mtu atakapovua soksi au khuff zake basi wudhuu wake utatenguka au kubakia. Rai iliyo sahihi ni kuwa wudhuu utakuwa bado upo na ...

    Alhidaaya - Feb 1 2024 - 9:12pm

  3. Nisome Duaa Gani Ili Nipate Kibali Cha Kuishi Nchi Ya Kigeni?

    ... wowote utakao kuwa umetokea na kama itakuwa kuna uwezo kana wa kuwa namba zenu naomba ili niweze kupata majibu kwa haraka na niamue ... ndani ya hiyo shari kuna kheri yake aliyopangiwa na Mola Wake. Tunapata mafunzo kutokana na Qur-aan na Hadiyth kama ifuatavyo:  ...

    Alhidaaya - Feb 1 2024 - 9:31pm

  4. Ndoto Anazoota Zinatokea Kweli Hadi Zinamtia Khofu

    ... na Vilevile kabla ya kumsahau Allah (SWT) na Mtume wake (S.A.W) kwa kutongoza katika mambo ya kheri na kutupa afya njema. ... kwa kweli inanitisha.   Allah awape wepesi wa kunijibu swali langu hili. Inshaalllah.   Assalam aleykum, ...

    Alhidaaya - Dec 3 2023 - 7:05am

  5. Amefuturisha Watu Amezuliwa Kuwa Amesababisha Maasi; Afanyeje Na Ndugu Hawasemi Naye?

    ... lenye heri nanyi hapa na kesho Akhera.  Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa ng'ambo,  kawaida yangu hujitahidi kufuturisha waislam hapa ... haruhusiwi kuchanganyika na wanaume isipokuwa wawe mahaarimu wake na hao wanaume japo kuwa umeweka sababu kuwa hawajui kupika sharia ...

    Alhidaaya - Feb 1 2024 - 9:42pm

  6. Majaaliwa Na Makadario Ya Watu Wema Na Waovu

    ... ashaandikiwa Kwenye kitabu chake atakua na maisha aina kadha wa kadha (mtu mwenye uwezo, atakua Daktari, au mwalimu ), Rizki yake ... minne, huwa ni wakati wa hizo roho kupulizwa katika mwili wake kiumbe, kama inavyoelezea Hadiyth ifuatayo:   ...

    senior.editor.tamimi - Feb 1 2024 - 4:32am

  7. 09-Abu Bakr Asw-Swiddiyq (Radhwiya Allaahu 'anhu): Wakeze Na Wanawe

      Abu Bakr (Radhiya Allaahu 'anhu) alioa wake wanne; Wakati wa ujahilia (kabla ya kuja kwa Uislamu) alimuoa Qutaylah binti Sa'ad na akazaa ...

    Alhidaaya - Jan 1 2024 - 7:11pm

  8. 005-Sifa Ya Swalah Ya Mtume (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam): Kauli Za Maimaam Wanne Kuhusu Kushikamana Na Sunnah Na Kuacha Kufuatwa Rai Zao

    ... 1) ABU HANIYFAH ( رحمه الله ) Wa kwanza wao ni Abu Haniyfah Nu'maan bin Thaabit. Wafuasi wake wamesimulia kauli zake mbali mbali pamoja na maonyo tofauti ambayo yote ...

    baawazir - Sep 8 2018 - 10:55pm

  9. Du'aa Maalumu Au Makhsusi Za Kila Baada Ya Swalaah Ni Swahiyh?

    ... ZIKO   DUAA NYENGINE NIMEPEWA   NA SHOGA YANGU   WA MUSSCAT   KAMA DUA   YA KUSOMA BAADA YA SWALAH YA ADHUHURI......... ... haki ila Allaah  hali ya kuwa Peke Yake Hana mshirika  ni Wake Ufalme, na ni Zake  sifa njema, na Yeye juu ya kila kitu ni Mueza, hapana ...

    Alhidaaya - Dec 4 2023 - 3:13am

  10. 01-Abu Bakr Asw-Swiddiyq (Radhwiya Allaahu 'anhu): Akiutafuta Ukweli Kabla Ya Muhammad ( صلى الله عليه وسلم) kupewa Utume

    ... Ukweli Kabla Ya Muhammad (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) Kupewa Utume   Alhidaaya.com     ... mfanya biashara marufu sana mwenye kujulikana kwa uaminifu wake hapo Makkah, heshima yake ilikuwa kubwa sana baina ya ma-Quraysh, na ...

    Alhidaaya - Aug 18 2021 - 5:27pm

Pages