Tafuta

Search results

  1. Ununuzi Kwa Njia Ya Ushindani (Mnada)

    ... kwa Muislamu kununua hiyo nyumba, tena basi ktk utaratibu wa ushindani wa kupandishiana bei?     JIBU: ... Allaah Amemlaani mwenye kula ribaa, mwenye kuitoa, mashahidi wake na mwandishi wake ” (Ahmad, Abu Daawuud, at-Tirmidhiy, an-Nasaaiy ...

    Alhidaaya - Feb 25 2016 - 11:07am

  2. Kukaa Faragha Na Mwanamke Unayetaka Kumuoa Inajuzu?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... au kuzungumza. Inatakiwa kwanza uende ukampose kwa wazazi wake hao rasmi na kufanya hivyo utakuwa umeweka dhamana asiposwe na mwengine ...

    senior.editor.tamimi - Jan 24 2021 - 5:45pm

  3. Mume Mlevi, Mtusi, Anaiba Vitu Vyangu Na Ananipiga Nimeamua Kumfukuza. Je, Nimekosea?

    ... sheikh, mimi nina mume ambaye ni mlevi, mtusi mpigaji, mwizi wa vitu vyangu vya dhahabu, kauza vitu vyangu vyote vya dhahabu, analeta ulevi ... na maagizo tuliyopatiwa na Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). Ikiwa mume ana matatizo ...

    senior.editor.tamimi - Jan 14 2016 - 5:40pm

  4. Kutumia Tasbihi (Kuhesabia Shanga) Katika Kumdhukuru Allaah Inafaa?

    ... A allakum. ningependa  kuuliza  kuhusu  utumiaji  wa  tasbih  ni  bidaah  na vipi  tutawaeleza  wazazi kuhusu   ... wa sallam), akihesabu kumsabihi Allaah na vidole vya mkono wake wa kuume " [Abu Daawuud, at-Tirmidhiy, an-Nasaa'iy na Ibn Maajah]. ...

    Alhidaaya - Nov 28 2021 - 9:58am

  5. Vipi Kukidhi Swalaah Kama Shida Kuswali Kazini?

    ... naweza kuzisali hizi  ambazo sikuweza kuzisali kwa wakati wake? kwa sababu kazini sipati muda wa kusali na sehemu ya kusalia pia hakuna, sasa nifanyeje ili niweze kuzisali ...

    Alhidaaya - Jan 7 2021 - 12:56pm

  6. Kuzini Na Kushika Mimba Nini Hukmu Yake

    ... ya mume je ujauzito huu unaweza ukasimama kama ni ushahidi wa kuwa yeye ni mzinifu? Na kama jibu ni ndio, je kama nchi anayoishi ni nchi ... ya mzinifu? Pia kama ni kesi ya mke wa mtu ambae mume wake anaishi mbali na yeye, lakini mke wa mtu huyu akapata ujauzito bila kuwepo ...

    senior.editor.tamimi - Jan 24 2021 - 5:37pm

  7. Anaswali Na Kuacha Lakini Anasoma Qur-aan Je, Anahukumiwa Vipi?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola i wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... atapata ujira mmoja, na ujira huu ni sawa na kumi mfano wake. Wala sisemi kuwa Alif Laam Miym ni herufi moja lakini Alif ni ...

    Alhidaaya - Nov 29 2013 - 5:07pm

  8. Historia Ya Luqmaan Mwenye Hekima

    ... rrahim nilikua na swali ambalo labda naweza kupata ufafanuzi wake hapa na swali lenyewe si kubwa wala zito lakini ni kuzidiana ilmu na swali ... kwake maana huyu mtu ametajwa katika quraan naitakua si mtu wa kawaida ni hilo tuu ahsantum assalam alykum kila la kheri na mafanikio mema. ...

    senior.editor.tamimi - Aug 7 2014 - 4:36pm

  9. Janaba: Amelala Na Janaba Hadi Jua Likatoka Nini Hukmu Ya Swawm Yake?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... na amri za Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala ) na Mjumbe Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam). Amri za kufunga Swawm, ...

    Alhidaaya - Jan 25 2021 - 1:07pm

  10. Mahari Niliyotoa Hayakumfikia Mke Na Mahari Yake Yamepunguzwa Afanyeje?

    ... haikumfikia mke wangu kwa kuwa kuna mtu/ watu upande wa mke ambao walikabidhiwa ili wakampe muolewaji hawakumpa. Binafsi ... ana haki kwa mwanawe, basi kama amechukuwa mahari ya mtoto wake na kuyatumia hakuna kitu ni haki yake, kwani yeye huyo mtoto na mali ...

    senior.editor.tamimi - Jan 8 2009 - 6:53pm

Pages