Tafuta

Search results

  1. Yanayopasa Kufanywa Na Mwenye Mimba Na Baada Ya Kuzaa

    ... ya dini yanayompasa mwanamke mwenye mimba kufanya wakati wa hiyo miezi tisa na baada ya kuzaa. Asante . ... isipokuwa ikiwa kufunga kutamletea matatizo yeye au mtoto wake, kusoma Qur-aan, kuleta dhikri (kumtaja Allaah), kufanya kazi ikiwa ni ...

    Alhidaaya - Jan 24 2021 - 5:14pm

  2. Kukata Kucha Ni Lazima Siku Ya Ijumaa Au Inafaa Kukata Siku Nyenginezo?

    ... SWALI:   Why did Mtume Muhamad Salla Allaahu alayhi wa sallam used to cut his nails on Friday. What was the reason for cutting his ... vitukufu vya Allaah basi hivyo ni khayr kwake mbele ya Rabb wake. [Al-Hajj: 30]    Na pia Anasema Allaah (Subhaanahu wa ...

    Alhidaaya - Jan 22 2021 - 5:36am

  3. Anataka Kuoa Lakini Hajui Taratibu Za Kutafuta Mchumba Kisheria?

    ... Kwanza natoa shukurani zangu kwa msaada wenu wa kutuelimisha kunako dini yetu. Allah awalipe pepo yake, ameen. Swali langu ... utaratibu mzuri wa mvulana au msichana kutafuta wa pili wake katika maisha ya kindoa bila ya kupitia mifumo ambayo ni ya kumtweza ...

    senior.editor.tamimi - Nov 6 2008 - 4:09pm

  4. Swalah Na Du’aa Zipi Za Kusoma Unapotaka Kutubu?

    ...   SWALI:   Mimi ni msichana wa kiislam nina umri wa miaka 25 naomba mnisaidie nahitaji kujua dua za kuomba ... Kukupa uongofu ubakie katika taqwa na uwe miongoni mwa waja Wake wema. Aamiyn.   Na Allaah Anajua zaidi   ...

    Alhidaaya - Apr 11 2015 - 12:06am

  5. Uzazi Wa Kupandikiza Wa Chupa (Test Tube) Unafaa?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... kuwa ni kazi ya uhakika na kutumainika, ukamilifu wake na usalama wa utaratibu wake.  Jambo muhimu la ...

    Alhidaaya - Jun 11 2010 - 12:21am

  6. Safari: Msafiri Kula Hadharani Wakati Wa Swawm Inafaa?

    ... Hukmu Za Swawm Msafiri Kula Hadharani Wakati Wa Swawm Inafaa? www.alhidaaya.com     SWALI: ... wanaosafiri kwa gari na wakateremka katika mji na wakaazi wake wamefunga, kisha mtu huyo akawa anakula mbele yao. Inabidi ujitenge kula ...

    Alhidaaya - Jan 7 2021 - 7:36am

  7. Wanyama Wanaochinjwa Na Mayahudi Ni Halaal Kula?

    ... mama naishi uk ninae rafiki yangu ambae mume wake ana fanya kazi kwenye kiwanda cha kuchinja kuku. sasa hao kuku wanachinjwa ... jazzakallah, dada wa kiislam     JIBU: ...

    Alhidaaya - Jan 6 2021 - 4:48am

  8. Mjomba Ameacha Mke, Mjukuu Na ndugu Wa Kike Na Wa Kiume, Wanawe Walifariki Kabla Yake

    ... Shukran kwa website hii yenye manufaa mengi kwa ummah wa Kiislamu. Mwenyezi Mungu awabariki na awape mafanikio nyote. Nina ... wangu alipoaga dunia, aliwacha nyuma warithi mkewe, mjukuu wake wa kike, ndugu wa kiume wawili na ndugu wa kike mmoja. Marhum alikuwa na ...

    senior.editor.tamimi - Jan 5 2021 - 7:58pm

  9. Urithi Wa Mke Na Mtoto

    ... NAITWA ****,MUME WANGU AMEFARIKI NA KUNIACHA NA MTOTO MMOJA WA KIUME UMRI WA MTOTO HUYO NI MIAKA 6.  MUME WANGU PIA AMEACHA MAMA MZAZI WAKE NA KAKA ZAKE 3 NA DADA ZAKE 3, BABA WA MUME ALIFARIKI KABLA YA MUME WANGU, ...

    Alhidaaya - Jan 5 2021 - 7:44pm

  10. Kwenda Kuswali Msikiti Ulio Mbali Kwa Ajili Ya Kufuata Qiraa Kizuri Au Khutbah Bora

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... Kunaruhusika kuruka Msikiti endapo Msikiti wa karibu Imaam wake ni mtu wa bid'ah na hakusimamishwi Sunnah ndani yake, hapo unaweza ...

    Alhidaaya - Jan 25 2021 - 9:41am

Pages