Tafuta

Search results

  1. Mwanangu Kaoa Mbali Lakini Hataki Kwenda Kwa Mkewe

    ... Assalam alaykum ndugu zangu wote wa alhidaaya Swala langu ni: Mimi na mtoto wangu tunaishi Canada Miaka mitatu ... na dhulma pamoja na madhara. Na kwa sababu ya uvumilivu wake kwa muda wote huo Allaah Aliyetukuka Atmpatia badali iliyo nzuri. ...

    Alhidaaya - Jan 24 2021 - 11:37am

  2. Tattoo: Kujichora Mwili; Swalaah Inakubaliwa? Afanyeje Baada ya Kutubu Nayo Haitoki?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... hali hiyo zitakuwa ni zenye kukubaliwa baada ya muhawala wake huko na kweli kujirekebisha katika hali aliyokuwa nayo.   ...

    senior.editor.tamimi - Jan 7 2021 - 11:09am

  3. Mume Ana Hiari Kukaa Kwenye Mtandao Masaa Kila Siku, Lakini Inapita Miezi Na Hamtimizii Mkewe Haki Ya Tendo La Ndoa

    ... kwenye internet   na  mimi nishamwambia sipendo mwendo wake huo  lakini jibu lake ni  kuwa yeye  hawezi kuishi bila ya internet ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ...

    senior.editor.tamimi - Apr 15 2011 - 12:12am

  4. Al-Lajnah Ad-Daaimah: Pokemon Ni Mchezo Haraam

    ... Alhidaaya.com     Mufti wa Saudi Arabia, Shaykh ‘Abdul-‘Aziyz Aal Ash-Shaykh (Hafidhwahu Allaah) ... inayopelekea kwenye yale yaliyoharamishwa na Allaah na Mtume Wake.   Na Kamati inawausia Waislamu wote wajihadhari na ...

    baawazir - Jan 4 2021 - 10:41am

  5. Yanayopasa Na Yasiyopasa Kutendeka Katika Ndoa

    ...   AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad ... رضي الله عنها   d) Mume kuweka mkono wake juu ya sehemu ya mbele ya kichwa cha mke na kuomba baraka kwa Allah.   ...

    Alhidaaya - May 8 2018 - 1:53pm

  6. Kujisafisha Masikio Kunabatilisha Swawm?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... 3.        Mume kumuingilia Mke wake. Na pia kumkumbatia au kumchezea hadi yakamtoka manii. 4. ...

    Alhidaaya - Sep 23 2015 - 1:52pm

  7. Ni Nadhiri Au Ahadi?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola i wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... wa sifa ambazo Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Amemuahidi mja Wake Pepo ya Firdaws kama Anavyosema :   ...

    Alhidaaya - Mar 3 2017 - 4:40pm

  8. Wanandoa Walionyimana Haki ya Unyumba Kwa Miaka Minne Je Wafunge Ndoa Upya?

    ... NINA RAFIKI YANGU ANAISHI HAPA MAREKANI ANATATIZO NA MKE WAKE tatizo lenyewe ni hili hawana muafaka wowote kwa sababu mkewe alijenga ... kitanda kimoja, lakini wanalala chumba kimoja kwa muda wa miaka minne. Sasa hivi tumewasuruhisha wamerudisha upendo. Je, watu hawa ...

    senior.editor.tamimi - May 6 2010 - 10:54pm

  9. Harusi Inaweza Kufanyika Ikiwa Kuna Mtu Amefiwa Au Katika Eda?

    ... harusi?  Kuna harusi ambayo ilikuwa planned ifanywe mwezi wa nane lakini katika wiki mbili hivi zilizopita, kuna mtu amekufa katika ... Na ikiwa mtu ana uwezo wa kutahamali na kuvumilia ule msiba wake chini ya siku tatu, basi hata siku hiyo hiyo sheria haimkatazi yeye au ...

    Alhidaaya - Mar 16 2013 - 1:12am

  10. Mzigo Wa Mtu Hamjui Yuko Wapi Afanye Nini?

    ... SANA MIMI NATAKA KUULIZA SUALI  MOJA MIMI NNA MZIGO WA MTU KANIWEKEA  NIKAKAA KWA MUDA MUDA MREFU HAJAJA KUCHUKUA MZIGO WAKE   NA   MIMI BAADAE YULE MTU NIMEMSAHAU NI NANI SASA ULE MZIGO ...

    Alhidaaya - Mar 23 2012 - 8:20am

Pages