Tafuta

Search results

  1. Zakaah Ya Bidhaa Zenye Kuingia Na Kutoka

    ... sana mana twatarajia kutoa zaka. Mwaka wetu wa kifedha waishia Ramadhani. (The Financia year ends on Shaaban every year) ... Pia pesa iliyo benki ni mfano wa bdhaa mana mzunguko wake ni kutoka na kuingia, mara tumelipa wanaotuuzia mali ...

    Alhidaaya - Jun 28 2013 - 5:41am

  2. Anasoma Nchi Za Nje, Baba Hajaridhika Naye, Yeye Anahitaji Kisomo Apate Kuajiriwa Amhudumie Baba Yake Afanyeje?

    ... SWALI:   Al Salam Aleikum Warahmatul Allahi Wa Barakatoh   Mimi nasoma Malaysia ilikua kwa hisabu ya ... yake! Na hilo ni khatari sana kwa Dini ya mtu na mwisho wake.   Unaweza kukimbizana na kusoma masomo ya kidunia na ukawa na ...

    senior.editor.tamimi - Apr 7 2016 - 9:25pm

  3. Kumuoa Msichana Bila Ya Radhi Za Baba Yake Inafaa?

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad ... Nikaah bila ya ruhusa ya baba mzazi wa msichana au walii wake. Hata hivyo, ikiwa walii amekataa bila ya udhuru wowote wa kisheria basi ...

    senior.editor.tamimi - Jul 16 2009 - 5:18pm

  4. Binamu Anafaa Kuwa Walii Ikiwa Hawako Wanaopasa? Mume Kuishi Mbali Naye Na Kuonana Naye Kila Baada Ya Miaka 3 Inafaa?

    ... Amani ya allah iwe juu yenu: namshukuru mungu muweza wa kila jambo yeye mwenye ufalme wa mwanzo na wa mwisho: natowa shukurani zangu ... walikuwepo vijana wawili mmoja ni mtoto wa bwana mkubwa wake na dada yangu na mungine mtoto wa binamu yangu; ndipo baba zangu wadogo ...

    senior.editor.tamimi - Dec 18 2009 - 1:49am

  5. 08-Sifa Kumi Na Fadhila Zake: Wafungao Swawm Wanaume Na Wanawake

    ...       Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):     إِنَّ ... hufurahika kwa Swawm yake, na atakapokutana na Mola wake atafurahi kwa Swawm yake)) [Al-Bukhaariy]     ... bin ‘Amr bin Al-‘Aasw (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alimwambia: “Funga ...

    webmaster - Jul 20 2018 - 4:56am

  6. Ana Matatizo Ya Kutomridhisha Mkewe Kwenye Tendo La Ndoa

    ... NINI HASA YA TATTIZO HILI? NAOMBA MSAADA MKUBWA NIA UMRI WA MIKA 24 TU. (tutawasialan kupitia ******** nisaidien juu ya hili kuokoa ... JE MWANAMKE ANAYO HAKI YA KUKATAA KUINGILIWA NA MUME WAKE IKWA TUU ETI MUME ANATATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI? NA MWAMUME HUYU ...

    Alhidaaya - May 19 2011 - 4:18pm

  7. Vipi Kuondosha Wasiwasi Wa Mashaka Ya Najsi

    ... Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume (Swalla ... Toa wasiwasi wote juu ya najisi kama hizo mpaka ujue uhakika wake. Wakati mmoja ‘Umar ibn al-Khatwtwaab (Radhiya Allaahu 'anhu) alikuwa ...

    Alhidaaya - Aug 24 2018 - 9:18am

  8. Dada Mmoja Karitadi, Wengine Wanaishi Na Wanaume Wakiristo, Je, Akate Mahusiano Nao?

    ...   [1] Naomba kupata ufafanuzi;kuna mdogo wangu wa kike tumechangia mama alibadilisha dini na kuwa mkristo na kufunga ndoa ya ... na hata kaseti. Ikiwa atang’ang’ania katika ukafiri wake itabidi wakati huo mukate mahusiano naye ya moja kwa moja lakini baada ya ...

    senior.editor.tamimi - Nov 22 2016 - 10:48pm

  9. Rafiki Yake Amekiri Kuwa Ametenda Maasi Ya Zinaa Sasa Hamuamini Tena, Je Aachane Naye Au Aendelee Naye

    ... bado anafanya, nilikuwa namuamini coz ni muumini mzuri wa dini, ananiambia aliteleza, tuna miaka ya kusubiriana je kwa kipindi hiko ... huenda akashawishika tena kwani kitendo cha ndoa kina utamu wake na ushawishi kutoka kwa aliyefanya naye kitendo huenda ukazidi mpaka awe ...

    senior.editor.tamimi - Mar 25 2010 - 11:42pm

  10. Kutambua Madhii Na Wapi Hasa Yapo Katika Nguo – Kiasi Gani Cha Madhii

    ... fursa ya kuyasoma majibu yako, lakini kutokana na ugumu wa hili jambo sikuweza kusuluhisha tatizo hili kwa kutumia ushauri ulioutoa. ... kuweza kujua kuwa madhii yamekutoka isipokuwa ule utokaji wake hukujulisha hilo kwani madhii humtoka mtu akiwa macho tofauti na ...

    senior.editor.tamimi - Aug 24 2018 - 8:59am

Pages