Imaam Ibn Al-Jawziyy: Atakayetumia Ujana Wake Katika ‘Ilmu Atashukuru Na Kupata Ladha Ya Dunia Na Aakhirah

 Atakayetumia Ujana Wake Katika ‘Ilmu Atashukuru Na Kupata Ladha Ya Dunia Na Aakhirah

 

Imaam Ibn Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Imaam Ibn Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah):

 

 

Atakayetumia ujana wake katika ‘ilmu; basi katika uzee wake atashukuru kwa lile alilolipanda na ataona raha kwa yale aliyokusanya wala hatoona au hatokosa chochote katika raha ya kiwiliwili pamoja na ziada ya ladha ya ‘ilmu aliyopata. Pamoja na ladha aipatayo ya ‘ilmu hii ni pamoja na uwepo wa dhati yake katika kutafuta kile ambacho anatarajia kukipata, na huenda zikawa ni amali ambazo alitaraji kuzipata na kuzifahamu, na huenda zikawa ni zile amali ni bora zaidi kuliko alizopata.”

 

[Swayd Al-Khatwir uk 247]

 

 

Share