Skip to main content

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy: Kujifunza ‘Ilmu Humsababisha Mtu Kumcha Allaah

Kujifunza ‘Ilmu Humsababisha Mtu Kumcha Allaah

Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Amesema Imaam Sufyaan Ath-Thawriy (Rahimahu Allaah):

“Kwa hakika mtu hujifunza ‘Ilmu ili amche Allaah kwa ‘Ilmu hiyo, na kwa hakika ‘Ilmu imefadhilishwa kwa mengine yasiyokuwa hayo ni kwa sababu ya ‘Ilmu hiyo mtu humcha Allaah ('Azza wa Jalla).

[Jaami’u Bayaan Al-‘Ilmi Wa Fadhwlihi Juz 1 uk 665]