Imaam Ibn Baaz: Kusikiliza Muziki Ni Haraam Na Inasababisha Kutokumdhukuru Allaah Na Maasi

Kusikiliza Muziki Ni Haraam Na Sababu Ya Kutokumdhukuru Allaah Na Maasi

 

 

Imaan Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

Hakika kusikiliza muziki ni haraam na ni jambo lenye kuchukiza, ni katika sababu ya maradhi ya nyoyo, kuwa na moyo mgumu kwenye kufuata haki, lakini pia ni sababu ya kuuzuia moyo kumdhukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta’alaa), na ni sababu pia ya kumzuia mtu kuacha Swalaah.

 

 

[Fataawaa Imaam Ibn Baaz (3/429)]

 

 

 

 

Share