Haijuzu Kukosa Swalaah Ya Alfajiri Kwa Ajili Ya Kukesha Katika ‘Ibaadah
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema: Haijuzu kukesha hadi kupoteza Swalaah ya Jamaa Alfajirii au kuiswali kwa wakati wake hata kama ni kukesha kwa ajili ya kusoma Qur-aan.
[Al-Fataawaa (10/390)]