Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mgonjwa Afanye Wudhuu Au Tayammum?

 

Mgonjwa Afanye Wudhuu Au Tayammum?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Amesema Imaam ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):

 

Ni wajibu kwa mgonjwa kuswali kulingana na hali yake, kwa wudhuu ikiwezekana, ikishindikana basi atatakiwa kutayammam, ikishindikana ataswali bila hata kutayammam kisha ataswali kwa nguo zake zilizokuwa safi na ikishindikana ataswali kwa nguo zake hata zikiwa na najisi..”

 

 

[Fataawaa Nuwr ‘Alaa Ad-Darb (5/416)]

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share