020-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji: Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

 

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

 

كِتَابُ الأَطْعِمَةِ وَالأَشْرِبةِ وَمَا يَتَعَلَّقُ بِهِمَا

 

 Kitabu Cha Vyakula Na Vinywaji Na Yanayohusiana Na Viwili Hivi

 

Alhidaaya.com

 

Adabu Za Kula

 

 

020-Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

 

 

 

 

4-  Kula Toka Pembezoni Mwa Chakula Na Si Kutoka Katikati Yake

 

Toka kwa Ibn ‘Abbaas (Radhwiya Allaah ‘anhumaa) toka kwa Rasuli (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:

 

"الْبَرَكَة تَنْزِلُ فِيْ وَسَطِ الطَّعَامِ ، فَكُلُوا مِنْ حَافَتَيْهِ ، وَلاَ تَأْكُلُوا مِنْ وَسَطِهِ" ‏

 

“Baraka inateremka katikati ya chakula, basi kuleni toka pambizo zake, na msile toka katikati yake”.  [Hadiyth Swahiyh.  Imekharijiwa na Abu Daawuwd (3772), Ibn Maajah (3277) na Ahmad (1/343-345)].

 

 

Share