Skip to main content

10H(ii)-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: (ii) Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe18-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: (ii) Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: Mume Ajipambe Kwa Mkewe Kama Mkewe Anavyojipamba Kwa Ajili Yake

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

كِتَابُ الزَّوَاجِ

Kitabu Cha Ndoa

الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ

Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume

Alhidaaya.com

17: Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: 14-Mume Ajipambe Kwa Mkewe Kama Mkewe Anavyojipamba Kwa Ajili Yake:

Ibn ‘Abbaas amesema: 

"إني لأحِبُّ أَنْ أَتَزَيَّنَ لِلْمَرْأَةِ كَمَا أُحِبُّ أَنْ تَتَزَيَّنَ لِيْ، لأَنَّ اللهَ تعالى يَقُوْلُ":

“Mimi kwa hakika ninapenda kujipamba kwa mke wangu kama ninavyopenda yeye kujipamba kwa ajili yangu.  Kwa sababu Allaah Ta’aalaa Anasema:

"وَلَهُنَّ مِثْلُ الَّذِي عَلَيْهِنَّ بِالْمَعْرُوفِ"

“Nao wake wana haki kama ambayo (ya waume zao) iliyo juu yao kwa mujibu wa shariy’ah”.  [Al-Baqarah: 228]