Skip to main content

10H(ii)-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كتاب الزواج Kitabu Cha Ndoa: الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: (ii) Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe20-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Kitabu Cha Ndoa: Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume: (ii) Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: Afanye Usawa Kati Yake Na Wake Wenza Wenzake Katika Chakula, Vinywaji, Mavazi Na Malazi

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

كِتَابُ الزَّوَاجِ

Kitabu Cha Ndoa

الحُقُوْقُ بَيْنَ الزَّوْجَيْنِ

Haki Za Kutendeana Kati Ya Mke Na Mume

Alhidaaya.com

19:  Haki Zinazompasa Mume Kumtendea Mkewe: 16-Afanye Usawa Kati Yake Na Wake Wenza Wenzake Katika Chakula, Vinywaji, Mavazi Na Malazi:

Kutenda usawa kati ya wake ni jambo la waajib katika chakula, mavazi, nyumba na zamu za kulala.  Ama penzi, hilo liko nje ya uwezo wa kibinadamu, halidhibitiki.