Orodha Ya Majina Ya Miezi Ya Kiislaam (Hijri)

 

Orodha Ya Majina Ya Miezi Ya Kiislaam (Hijri)

 

 Alhidaaya.com

 

 

 

 

SWALI:

 

assalaamu alaykum warahmatullaahi wabarakaatu,ndugi zangu alhidaya,nawaomba munifundishe orodha ya miezi kumi na mbili ya kiislamu kwa kiarabu na kiswahili ili nipate kuijuwa vizuri,wabillahi tawfiq.

 

JIBU:

 

AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

Orodha ya majina ya miezi ya Hijri ni kama ifuatavyo:

 

1

ِAl-Muharram

المحرّم

2

Swafar

صفر

3

Rabiy’u Al-Awwal

ربيع الأول

4

Rabiy'u Al-Aakhir

ربيع الآخر  

5

Jumaadaa Al-Uwlaa

جمادى الأولى

6

Jumaadaa Al-Aakhirah

جمادى الآخرة 

7

Rajab

رجب

8

Sha’baan

شعبان

9

Ramadhwaan

رمضان

10.

Shawwaal

شوّال  

11.

Dhul-Qa’dah

ذوالقعدة

12

Dhul-Hijjah

ذوالحجة

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share