Vizazi Vya Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Vipo Bado? Je, Ni Sahihi Hawatawakiwi Kupokea Swadaqah?

 

SWALI:  

 

Assalamu alekum. 

 

Ni kweli wapo vizazi vya Mtume miongoni mwetu? Na eti kweli hao hawatakiwi kupokea sadaka?


 

 

 

JIBU:

 

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

 

Shukrani kwa swali lako kuhusu kuwepo kwa vizazi vya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).

Hakika ni kuwa vizazi hivyo bado vipo na kweli Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliwakataza kuchukua sadaka.

 

 

Tafadhali bonyeza viungo vifuatavyo upate maelezo kamili:

 

Ufafanuzi Wa Ahlul Bayt (Masharifu) Na Kizazi Chake

 

Usharifu Nini Maana Yake? Je Ukoo Wa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) Uko Kweli?

 

Kizazi Cha Mtume (Swalla Allaahu ‘Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam) Bado Kinaendelea?

 

Masharifu Wasioswali Wana Maovu Na Maasi Watukuzwe? Je, Wao Bora Kuliko Mja Anayefuata Sheria?

 

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

 

 

Share