Saladi Ya Jarjiyr Tango Na Nyanya

Saladi Ya Jarjiyr Tango Na Nyanya

Vipimo na Namna ya Kutayarisha

Majani ya Jarjiyr Osha, chuja maji, katakata - 2 mshikano (bunches)

Tango Katakata vipande (dice) – 2

Nyanya/tungule Katakata vipande (dice) – 2

Saladi Majani – Lettuce Osha, chuja maji, katakata - 5 majani

Chumvi – Kisia

Ndimu (au siki) Kamua - 1

Namna Ya Kutayarisha

  1. Changanya vitu vyote isipokuwa chumvi na ndimu katika bakuli.
  2. Karibu na kula, tia chumvi na ndimu au siki

Majani Ya Jarjiyr:

 

 

Share