Saladi Ya Kabeji Matango Karoti Komamanga

 

Saladi Ya Kabeji Matango Karoti Komamanga

 

 

 

Vipimo

 

Kabeji  kiasi kidogo

Matango – 2

Karoti 2

Majani ya saladi kiasi

Kitunguu  -1

Komamanga – 1

Chumvi

Siki au ndimu

Mafuta ya zaytuni (olive oil)

 

 

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika   

 

  1. Osha vitu kisha menya na kataka vitu vyote isipokuwa komamanga weka katika bakuli kubwa.
  2. Changanya vitu vyote pamoja vizuri kisha ukipenda, tia chumvi, siki au ndimu na mafuta ya zaytuni (olive oil) uchanganye vizuri tena.
  3. Chambua komamanga  mimina juu yake, saladi ikiwa tayari.

 

Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)

 

 

 

 

 

 

Share