Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Usiwafanye Watu Wa Bid'ah Kuwa Mashahidi Wa Jambo

Usiwafanye Watu Wa Bid'ah Kuwa Mashahidi Wa Jambo

Imaam Maalik (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) amesema:

"Usiwafanye kuwa shahidi watu wa bid'ah na watu wa matamanio."

[Jaami' Bayaan Al-'Ilm Wa Fadhwlihi]