Imaam Maalik: Usioe Wala Kumuozesha Mubtadi’ (Mzushi)

 

Usioe Wala Kumuozesha Mubtadi’ (Mzushi)

 

Imaam Maalik (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Hawaolewi watu wa bid’ah, wala hawaozeshwi, wala hawasalimiwi, wala hakuswaliwi nyuma yao (hawa ni watu wa bid'ah ya ukafiri), wala hayahudhuriwi mazishi yao.”

 

 

[Al-Maduwnatu Al-Kubraa, mj.1, uk. 177  na katika vyanzo vingine ni mj. 1, uk. 84]

 

 

Share