Imaam Ibn Rajab: Kwanini Watu Wa Bid’ah Wanaitwa Ahlul-Ahwaa (Watu Wa Matamanio)

Kwanini Watu Wa Bid’ah Wanaitwa Ahlul-Ahwaa (Watu Wa Matamanio)

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Bid’ah huanza kwa kuitanguliza hawaa (matamanio) kabla ya Shariy’ah, kwa hiyo ndio maana huitwa watu wake ni Ahlul-Ahwaa (Watu wa matamanio)."

 

 

[Tafsiyr Ibn Rajab 202]

 

 

Share