Saladi Ya: Lettuce Kabaeji Karoti Tango Nyanya

Saladi Ya: Lettuce Kabaeji Karoti Tango Nyanya

 

 

 

 

Vipimo

Majani ya saladi (lettuce) - ⅟2

Kabeji - ⅟4

Matango – 1 kubwa

Karoti – 1 kubwa

Nyanya – 1kubwa

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika  

 

1.      Osha vizuri majani na kabeji kiasi utakacho,  katakata kisha chuja maji

 

2.      Kataka vitu vinginevyo kisha pangilia kama ilivyo katika picha.

3.      Ukipenda wakati wa kupakua, mwagia sosi ya saladi upendayo.

 

Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)

 

Share