Skip to main content

Shaykh Fawzaan: Usipuuzie Kuhudhuria Vikao Vya Kielimu

Usipuuzie Kuhudhuria Vikao Vya Kielimu (Ya Shariy'ah)

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah) amesema:

“Haijuzu kwa mtu kupuuzia kuhudhuria vikao vya kielimu (ya shariy'ah) na kuviendea mbio, kwa sababu huenda akafaidika kwa faida ambayo ikawa ni sababu ya yeye kuingia Peponi.”

[Al-Muntaqaa, mj. 1, uk. 39]